Mitego ya Gachagua yamnasa?

  • | Citizen TV
    12,464 views

    Huenda Naibu Rais Rigathi ameingia kwenye mtego alioutega kwa lengo la kumzuia kinara wa ODM Raila Odinga kuingia ikulu na kufanya mikakati na Rais William Ruto. Kufuatia matukio ya hapo jana ambapo wanasiasa wa ODM waliteuliwa serikalini,