Mito Hatari Makueni

  • | Citizen TV
    1,115 views

    Mwaka mmoja baada ya watu kumi kuangamia kwenye mto wa kwa Muswii eneo la Kilome kaunti ya Makueni kwenye barabara ya Sultan Hamud kwenda kasikeu wakati lori lililokuwa limewabeba kusombwa na maji ya mto huo ,daraja hilo halijawekwa vizuizi kufikia sasa. haya yanajiri licha ya ahadi hiyo kutoka kwa viongozi huku wakaazi wa eneno hilo wakisema mito mingi kwenye eneo la Kilome haina madaraja hali ambayo huhatarisha maisha yao