Mji wa Eldoret wapandishwa hadhi

  • | KBC Video
    32 views

    Mji wa Eldoret sasa umepewa hadhi rasmi ya kuwa jiji la tano nchini Kenya. Kilichokuwa kituo cha shughuli za kilimo na kilichopewa jina nyumbani kwa mabingwa wa riadha, leo kilitangazwa kuwa jiji katika hafla ya kukata na shoka iliyoongozwa na Rais William Ruto na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali miongoni mwao wanariadha shupavu wa humu nchini. Rais Ruto alitoa wito kwa wakazi na wakenya kwa jumla kuthamini maendeleo na kushirikiana na viongozi katika kukuza na kustawisha jiji hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive