Skip to main content
Skip to main content

Mkutano wa 18 wa maonyesho ya kilimo na biashara katika eneo la COMESA wafanyika Nairobi

  • | Citizen TV
    232 views
    Duration: 1:16
    Kenya imethibitisha ahadi yake ya kupanua mauzo ya nje ya nchi ya kilimo cha bustani na kuimarisha ushirikiano wa kikanda chini ya COMESA wakati viongozi, watunga sera, na watendaji wa sekta binafsi wanapokongamana katika mkutano wa 18 wa biashara na maonyesho ya COMESA jijini Nairobi. Waziri wa kilimo Mutahi Kagwe amesifu jukumu la COMESA katika kuimarisha biashara ndogo ndogo na ushindani katika soko hilo la pamoja la afrika mashariki na kusini.