Mkutano wa kumi wa Powering Africa Summit waanza Washington

  • | VOA Swahili
    159 views
    Maafisa kadhaa wa Marekani, viongozi wa Kiafrika, wawekezaji wa ulimwengu na watoa huduma mbalimbali Alhamisi walikusanyika mjini Washington D.C. kwa Mkutano wa Kumi wa kila mwaka wa Powering Africa ambao mwaka huu umeadhimishwa chini ya kauli mbiu “ Mustakbali wa Ushirikiano Katika Nishati wa Marekani na Afrika.” VOA’s Anthony LaBruto attended the summit and provided updates. Mwandishi wa VOA Anthony LaBruto alihudhuria mkutano huo na anatuletea yaliyojiri. #africa #energy #poweringafricasummit #voa