Skip to main content
Skip to main content

Mkutano wa kwanza wa Kimataifa wa Uthibitishaji (IAC) kufanyika nchini Kenya

  • | Citizen TV
    302 views
    Duration: 1:37
    Mkutano wa kwanza wa Kimataifa wa Uthibitishaji (IAC) kufanyika nchini Kenya, umepangwa kufanyika kutoka 11 hadi 13 Novemba 2025 katika Kaunti ya Mombasa. Akizungumza na waandishi wa habari hapa jijini Nairobi, afisa mkuu wa shirika la uthibitishaji la Kenya Walter Ongeti , amesema mkutano huo utaleta pamoja wawakilishi kutoka nchi zaidi ya 10 na wataalam wa kimataifa kujadili jinsi kibali cha uthibitishaji huendesha biashara, huimarisha ulinzi wa watumiaji, na kusaidia ushindani wa viwanda.