Mkutano waandaliwa kati ya viongozi wa Rwanda, DRC

  • | Citizen TV
    480 views

    Mkutano unafauatia mauaji na uharibifu wa mali goma Rais Felix Tshisekedi wa jamuhuri ya congo amepangiwa kukutana na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame kwa mkutano wa dharura leo kufuatia mapigano yanayoendelea kuchacha nchini DRC.