Mkuu wa EACC aahidi kushughulikia kesi za ufisadi haraka

  • | KBC Video
    124 views

    Afisa mkuu wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi hapa nchini Abdi Mohammud ameahidi kukabiliana na visa vya ufisadi na kuhakikisha kuwa mapato yote yanayotokana na ufisadi yametwaliwa na kurejeshwa kwa serikali. Mohammed ambaye amechukua wadhifa huo kufuatia kuondoka kwa Twalib Mbarak, alitoa matamshi hayo wakati wa hafla ya kumuapisha iliyoongozwa na jaji mkuu Martha Koome.Mohammud pia aliahidi kuwa wakati wa muhula wake wa miaka 6, atahakikisha kuwa tume hiyo imedumisha uadilifu wake na pia kutatua tatizo la hongo zinazotolewa barabarani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive