Mkuu wa uchaguzi atakiwa kufika mahakamani

  • | Citizen TV
    618 views

    Mwenyekiti wa bodi ya uchaguzi katika shirikisho la kandanda nchini fkf, msajili wa michezo na ocs katika kituo cha polisi cha gachuba kaunti ya nyamira wametakiwa kufika katika mahakama kuu ya keroka, kujibu mashtaka ya kuandaa uchaguzi wa viongozi wa kandanda katika eneo hilo kinyume na agizo la mahakama.