11 Nov 2025 10:36 am | Citizen TV 13,281 views Duration: 1:18 Mmiliki wa jengo la Easy Coach hapa jijini Nairobi amekamatwa huku Serikali ya Jiji ikianza msako dhidi ya wamiliki wa majengo wanaokaidi maagizo ya kupaka rangi upya majengo yao.