Mombasa: Upanzi wa nyasi za bahari na mikoko imekumbatiwa na wanamazingira

  • | NTV Video
    317 views

    Upanzi wa nyasi za bahari na mikoko imekumbatiwa na wanamazingira pamoja na wenyeji wanaoishi kando ya fukwe za bahari. Hii ni kutokana na uharibifu ambao umekuwa ukiendelea na kusababisha maeneo ya samaki kusalia mahame na kuwa matesa kwa wavuvi wanaotegemea bahari kujikimu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya