Morara Kebaso ashtakiwa kwa madai ya kueneza uongo

  • | Citizen TV
    3,500 views

    Mwanaharakati Morara Kebaso ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi elfu 50 na mahakama ya milimani alikofikishwa mapema leo. Morara anatuhumiwa kueneza habari za uongo kwenye mtandao wa x. hata hivyo mawakili wake zaidi ya 10 akiwemo Martha Karua tayari wametilia ndoa shtaka hilo wakisema halina msingi wowote. morara alikamatwa jana katika ofisi zake mtaani kahawa sukari kaunti ya kiambu. kesi hiyo itatajwa tena ijumaa tarehe 4 mwezi huu.