Moto ulisababisha vifo vya takriban watu 10 katika jumba la wastaafu kaskazini mwa Uhispania, serikali ya mkoa wa Aragon imesema leo Ijumaa.
Moto huo katika mji wa Villafranca del Ebro, kilomita 35 kusini mashariki mwa Zaragoza ulianza katika makazi ya wazee mapema leo. Ilichukua saa kadhaa kwa wafanyakazi wa zima moto kutoka eneo la Zaragoza kudhibiti moto huo, msemaji wa serikali ya mkoa alisema. Msemaji huyo hakusema iwapo waathirika wote walikuwa wakazi wa mji huo wa wastaafu, ambapo takriban watu 82 wanaishi hapo. Mtu mmoja alikuwa katika hali mbaya kiafya, huku watu kadhaa wengine wakipata huduma, haswa kutokana na kuvuta moshi. Chanzo cha moto huo bado kinaendelea kuchunguzwa.
#moto #uhispania #vifo #makazi #wazee #wastaafu #jengo #aragon #zaragoza #voa #voaswahili
22 Dec 2024
- Two Chinese astronauts this week completed a world-record spacewalk of more than nine hours, according to a statement from China's Manned Space Agency, marking another milestone for Beijing's rapidly expanding space program.
22 Dec 2024
- The explosive story of how Nigeria’s most feared finance minister brought oil barons to their knees, demolished Nigeria's $11.2b corruption machine.
22 Dec 2024
- Incoming US president Donald Trump on Saturday slammed what he called unfair fees for US ships passing through the Panama Canal and threatened to demand control of the waterway be returned to Washington.
22 Dec 2024
- Three Committees at the National Assembly are set to commence the vetting process of Nominees nominated by the President to serve in various state offices upon Parliamentary approval. National Asse…