Mpango wa Linda Mama kurudishwa katika bima ya afya ikiwa na manufaa yaliyoboreshwa

  • | K24 Video
    22 views

    Mpango wa Linda Mama sasa utarudishwa katika bima ya afya ikiwa na manufaa yaliyoboreshwa zaidi kwa ajili ya wajawazito. Mpango huo ambao sasa utajumuishwa chini ya bima mpya ya afya ya jamii, SHIF, utalipia huduma za kujifungua kwa kawaida jumla ya shilingi elfu kumi na moja kutoka shilingi alfu nne .