Serikali imezindua mradi wa uwezeshaji vijana utakaogharimu shilingi bilioni-5 ambao unanuiwa kupanua fursa kwa vijana kote nchini sambamba na mradi wa nyumba za gharama nafuu, ajira za kidijitali na nafasi za kazi ughaibuni. Rais William Ruto amesema mpango huo wa fursa za kitaifa kwa vijana, almaarufu NYOTA utatekelezwa kupitia mbinu jumuishi ya serikali katika juhudi za kuhakikisha uwazi na ujumuishi
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive