- 188 viewsDuration: 5:16Msafara Wa jipange Na Viusasa unazidi kunoga ukanda Wa magharibi hi Leo msafara ukizuru kaunti za Bungoma Na busia. Msafara utaanzia kimaeti Hadi Butula. Msafara Huu umekita mashinani kuadhimisha miaka minane ya vipindi vya kufana kwenye kiunzi cha Viusasa ambapo wakenya Wanajiunga Kwa shilingi hamsini Na Wanapata fursa kujishindia Hadi shilingi milioni mbili. Watangazaji Wa Radio citizen, mulembe,Vuuka Na sulwe FM wako msafarani Na ujumbe Wa jipange Na viusasa.