Skip to main content
Skip to main content

Msafara wa Jipange na Viusasa waelekea kaunti za Magharibi

  • | Citizen TV
    177 views
    Duration: 7:06
    Msafara wa Jipange na Viusasa kwa ushirikiano na Royal Media Services umeingia ukanda wa Magharibi, ambapo wakazi wa Kaunti ya Kakamega wanayo fursa ya kipekee kukutana mashinani na watangazaji nguli wa Radio Citizen na Mulembe FM, idhaa zinazotawala mawimbi ya utangazaji magharibi.