10 Nov 2025 1:26 pm | Citizen TV 496 views Duration: 1:27 Kwa siku ya nne mfululizo Mamlaka ya Kitaifa ya NACADA imeendeleza msako wa pombe haramu katika Kaunti ya Nandi. Hatua hii inafuatia ripoti zinazoonyesha kuongezeka kwa matumizi ya vileo na dawa za kulevya katika eneo hilo.