Mseto wa kaunti

  • | Citizen TV
    666 views

    Wanakijiji cha kithin kaunti ya tharaka nithi walilazimika kulala nje baada ya nyumba zao kusombwa na upepo mkali wakati wa usiku. Upepo huo uliharibu zaidi ya nyumba 50 na shule kadhaa katika eneo hilo na kuwaacha wakaazi wakihangaika.