Mshukiwa akamatwa Namanga kwa utekaji nyara wa mvulana mwenye ulemavu

  • | NTV Video
    563 views

    Mshukiwa mmoja kutoka namanga kaunti ndogo ya Kajiado ya kati amekamatwa na anazuiliwa katika kituo cha polisi cha namanga huku akidaiwa kuhusika katika utekaji nyara wa mvulana mwenye ulemavu wa umri wa miaka 17.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya