Msichana apigwa risasi kimakosa, polisi wakikabiliana na majambazi

  • | Citizen TV
    1,034 views

    Msichana mmoja mwenye umri mdogo anauguza jeraha baada ya kupigwa risasi kwenye nyonga na polisi waliokuwa wakikabiliana na majambazi eneo la mlango, mtaani pangani hapa Nairobi.