Mswada wa kumtimua Naibu Rais umepangiwa kuwasilishwa bungeni leo

  • | Citizen TV
    3,475 views

    Mswada wa kumtimua naibu rais Rigathi Gachagua umepangiwa kuwasilishwa bungeni leo alasiri baada ya mahakama kudinda kusitisha hatua hiyo kufanyika. Huku masaibu yakizidi kumwandama Gachagua, muungano wa wawakilishi wa kike wametangaza kuunga mkono kutimuliwa kwa Gachagua