Mswada wa Ushuru I Kamati ya bunge yaendelea na vikao vya umma

  • | KBC Video
    16 views

    Shirikisho la sekta ya kibinafsi humu nchini KEPSA limeridhia mswada wa marekebisho ya sheria za ushuru, ukisema utawalinda waajiriwa kutokana na gharama ya juu ya maisha kwa kuongeza mapato yao. Shirikisho hilo hata hivyo limelitaka bunge kukadiria upya ushuru uliopendekezwa wa Sigara na Pombe, ukisema utachangia ongezeko la bidhaa ghushi humu nchini. Wahudumu wa Kampuni za michezo ya bahati nasibu walipinga pendekezo la kuongezewa ushuru wakidai hatua hiyo itakandamiza sekta hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive