Mtetezi wa haki za binadamu Boniface Mwangi na wengine waliokamatwa waachiliwa kwa dhamana

  • | Citizen TV
    1,377 views

    Mwanaharakati Boniface Mwangi na wakenya wengine wanne wameachiliwa huru kwa dhamana ya shilingi 20,000 kila mmoja. Mahakama ya milimani ilipinga ombi la kuwazuilia wanne hao kwa siku 21 kama walivyotaka maafisa wa upelelezi. Na kama anavyoarifu ben kirui ilikuwa ni afueni pia kwa mama wa mwathiriwa mmoja aliyekamatwa siku ya alhamisi baada ya kuachiliwa huru.