10 Nov 2025 10:26 am | Citizen TV 439 views Duration: 1:36 Mtoto wa miaka sita amekufa maji baada ya kutumbukia ndani ya mto mjini Ilbissil, kaunti ya Kajiado. Inadaiwa mkasa huo ulitokea mtoto huyo alipokuwa akicheza na wenzake.