Mudavadi ataka mswada kuhusu ushiriki wa umma uidhinishwe

  • | Citizen TV
    913 views

    Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri Musalia Mudavadi amewataka Wabunge kupitisha Mswada wa Ushiriki wa Umma ili kuhakikisha kuwa umma unashirikishwa katika kutekeleza masuala ya kitaifa.