MURANG'A LEADERS AND YOUTH DEFENDS KIHARU MP NDINDI NYORO

  • | KNA Video
    199 views
    Semi za kiongozi wa walio wengi bungeni, Kimani Ichingwa na Kiongozi wa wachache Junet Mohammed imeendelea kuibua hisia tofauti huku viongozi wa Murang'a na vijana kuipinga na kuonekana kumtetea mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro.