Murkomen awaonya wahusika wa biashara ya viungo vya binadamu, uchunguzi ukiendelea

  • | Citizen TV
    424 views

    Wale watakaopatikana na hatia ya kuhusika katika biashara ya sehemu za mwili watakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amesema vitengo vya usalama vitashirikiana na jopokazi maalum lililoteuliwa kufanya uchunguzi. Na kama anavyotuarifu Seth Olale anavyotueleza, muungano wa Madaktari KMPDU unataka madaktari wanaoletwa kutoka Ulaya kufanyiwa uchunguzi mwafaka, kuhusu utendakazi wao kwenye hospitali za humu nchini.