Muungano wa Elimu Yetu waitaka serikali kuajiri walimu Zaidi

  • | Citizen TV
    109 views

    Washikadau katika sekta ya Elimu wameitaka serikali kuharakisha ujenzi wa madarasa ya gredi ya tisa wiki chache kabla ya mwaka kuanza ili kuepuka mahangaiko wakati wa mpito.