Muungano wa madaktari waikosoa mfumo mpya wa bima ya SHA

  • | Citizen TV
    204 views

    Muungano wa madaktari wa Magonjwa Yasiyoambukiza umeelezea wasiwasi wake kuhusu vifo vinazoweza kuepukika na mateso kwa wagonjwa yanayotokana na kuhamia kwa mfumo mpya wa bima ya SHA.