5 Nov 2025 10:09 am | Citizen TV 121 views Duration: 2:13 Muungano wa wanawake Kaunti ya Turkana chini ya mwavuli wa 'Voice of the women' wamejitokeza na kukashifu mauaji ya kila mara kwenye mpaka wa Kaunti za Turkana na Pokot Magharibi .