Muungano wa wauguzi nchini tawi la Kisii wasitisha mgomo wao

  • | Citizen TV
    86 views

    Muungano wa wauguzi nchini tawi la Kisii umesitisha mgomo wao ambao uliathiri zaidi ya hospitali 160 Kisii.