Skip to main content
Skip to main content

Mvua kubwa inaendelea kunyesha maeneo mbalimbali ikisababisha mafuriko Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    559 views
    Duration: 2:22
    Huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini, wakazi wa Kaunti ya Trans Nzoia wanaendelea kuhangaishwa na mafuriko yaliyosababisha uharibifu wa makazi na mali.