Mvulana wa miaka 16 ang'atwa na kuuawa na mamba

  • | Citizen TV
    1,246 views

    Mvulana wa miaka 16 amefariki baada ya kushambuliwa na mamba alipokuwa akiogelea katika mto Chepkulo eneo la Chepalungu kaunti ya Bomet..