Mvutano kati ya muungano wa UASU na usimamizi wa chuo kikuu cha Nairobi unazidi kupamba moto

  • | K24 Video
    33 views

    Mvutano kati ya muungano wa wahadhiri wa vyuo vikuu (UASU) na usimamizi wa chuo kikuu cha Nairobi unazidi kupamba moto, kwa mujibu wa UASU, licha ya uamuzi wa mahakama wa kumrejesha mwenyekiti wa baraza la chuo kikuu cha Nairobi, amukowa anangwe, hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa ya kuimarisha shughuli chuoni. Isitoshe baadhi ya wahadhiri wamedai kupokea vitisho na wengine kupokea barua za kusimamishwa kazi. Wamelishutumu baraza hilo kwa kuruhusu wanafunzi kuhamia kozi ambazo hawastahili.