Mwakilishi Wadi wa Burat Nicholas Lorot apigwa risasi mjini Isiolo

  • | TV 47
    390 views

    Mwakilishi Wadi wa Burat Nicholas Lorot apigwa risasi.

    Lorot alipigwa risasi Jumatano jioni.

    Alipigwa risasi mjini Isiolo.

    Anaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya St. Theresa, Meru.

    Maafisa wa upelelezi waanzisha uchunguzi.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __