Mwanafunzi afukuzwa shuleni mara tano

  • | NTV Video
    3,710 views

    Familia moja kaunti ya Machakos inaomba serikali kuingilia kati na kutatua mzozo uliopo baina ya mwana wao na shule ya upili ya wavulana ya Masii katika kaunti ya Machakos. Familia ya mwanafunzi huyo kwa jina Boniface Wele inasema mwanafunzi huyo amefukuzwa shuleni mara tano na sasa ametakiwa kuufanya mtihani wa kcse akiwa nyumbani.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya