Mwanafunzi mmoja tu? | Shule ya sekondari ya Mugwanda ni ya kipekee Kirinyaga

  • | Citizen TV
    1,605 views

    Mtazamaji hebu fikiri hili.....shule yenye mwanafunzi mmoja tu! Hii ndio hali ya shule ya upili ya Mugwanda katika kaunti ya Kirinyaga ambako licha ya kuwa na walimu wanane walioajiriwa, mwanafunzi ni huyo tu