Mwanahabari wa Italia atoa machozi alipotembelea biwi la taka Malindi

  • | NTV Video
    14,595 views

    Katika biwi la taka la Mayungu eneo la Malindi, makumi ya familia yamefanya jaa hilo kuwa maskani yao wakikita mabanda ya kuishi. Baadhi ya familia zimeishi hapo kwa takriban miaka 50 wakila vyakula vilivyooza na kuokota vyuma vikuu kuu ili kuuza.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya