Mwanaharakati Booker Omole anadai kulengwa na watekaji nyara

  • | Citizen TV
    3,316 views

    Mwanaharakati Booker Omole sasa anadai kulengwa kutokana na shutuma zake dhidi ya serikali baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumba yake Jumamosi asubuhi katika oparesheni fiche iliyotibuka mtaani Syokimau kaunti ya Machakos.