Mwanamke adai kudhulumiwa na mumewe Tana River

  • | Citizen TV
    394 views

    Mwanamke mmoja katika kaunti ya Tana River analilia haki baada ya mumewe kumdhulumu. Mwanamke huyo anadai mumewe alimchoma kwa sigara kwenye miguu na sehemu zake za siri. Licha ya kupiga ripoti polisi, hakuna hatua iliyochukuliwa.