11 Nov 2025 10:11 am | Citizen TV 4,415 views Duration: 1:56 Polisi katika eneobunge la Konoin kaunti ya Bomet wamemkamata mwanamke mmoja anayedaiwa kumuua mwanawe mwenye umri wa miaka 9 na kumjeruhi mwingine wa miaka 14 baada ya kuiba matunda kutoka shamba la jirani.