Mwanamke mmoja jijini Nakuru ajifungua watoto wanne

  • | Citizen TV
    1,233 views

    Mwanamke Mmoja Jijini Nakuru Amejifungua Watoto Wanne Kwa Mpigo Katika Hospitali Ya Rufaa Ya Nakuru . Susan Chepkemei Mwenye Umri Wa Miaka Thelathini Na Moja Anasema Kuwa Alitarajia Kupata Watoto Watatu Ila Siku Ya Kujifungua Madaktari Walimueleza Kuwa Amejaliwa Watoto Wanne. Maryanne Nyambura Anaarifu Zaidi.