Mwanamume afungwa miaka minne baada ya kupiga bibi yake

  • | Citizen TV
    1,442 views

    Mwanamume mmoja amehukumiwa Kifungo cha Miaka miNne Jela kwa Kumshambulia Mkewe Wake wa Zamani kaunti ya kericho.