Mwanamume Apoteza Maisha Mathare Kwa Kudungwa Kisu Alipokuwa Akimpeleka Mwanawe Shuleni

  • | TV 47
    346 views

    Mwanamume Apoteza Maisha Mathare Kwa Kudungwa Kisu Alipokuwa Akimpeleka Mwanawe Shuleni

    Wakaazi wa Mathare wamelalamikia ongezeko wa utovu wa usalama katika eneo hilo kufuatia kuuwawa kwa mwanaume mmoja. Mwanaume huyo aliuwawa kwa kudungwa kisu alipokuwa akimpeleka mwanawe shuleni.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __