Mwanangu alitengwa kisa degedege

  • | BBC Swahili
    263 views
    Susan Muyoki mama wa Watoto watatu wenye maradhi tofauti akiwemo mwenye changamoto ya moyo,mwenye tatizo la kifafa pamoja na mwanae ambaye sasa ni marehemu aliyezaliwa na kichwa kikubwa na mgongo wazi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw