Mwanaume aliyekodisha Tesla Cybertruck iliyolipuka alitambuliwa.

  • | BBC Swahili
    665 views
    Aliyekodisha gari ya Tesla Cybertruck ambayo ililipuka nje ya Trump Towers huko Las Vegas ametambuliwa kwa jina la Matthew Alan Livelsberger na alikuwa alifanya kazi katika Jeshi la Marekani. Livelsberger alikuwa akihudumu nchini Ujerumani lakini alikuwa likizo huko Colorado wakati wa tukio hilo. Polisi bado wanachunguza kama shambulio la New Orleans linahusiana na mlipuko wa gari hilo nje ya Hoteli ya Trump. #bbcswahili #marekani #tesla Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw