31 Oct 2025 1:18 pm | Citizen TV 1,066 views Duration: 1:07 Mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 70 amepoteza maisha baada ya kusombwa na mafuriko katika eneo la Vota, kaunti ya Machakos usiku wa jana.