Mwanaume wa miaka 23 ajitia kitanzi Bureti

  • | Citizen TV
    692 views

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 23 alipatikana akiwa amejitia kitanzi kwa kujinyonga katika boma la baba ya mpenziwe katika Kijiji Cha Kapsangai kata ndogo ya Getarwet eneo Bunge la Bureti Kaunti ya Kericho.