'Mwanume mpaka kufika hatua ya kupata tiba ni hajajipeleka mwenyewe'

  • | BBC Swahili
    656 views
    Mwezi June kila mwaka dunia hutumiwa katika uelimishaji wa masuala ya afya ya akili kwa wanaume. Hii ni kutokana na tafiti mbalimbali za kiafya kubaini kwamba kuna utofauti wa mazingira na kuhimili matokeo ya changamoto ya afya ya akili kati ya mwanaume na mwanamke. Mwandishi wa BBC @mubalileonard amezungumza na @michaelbaruti na mwanasaikolojia tiba @nadiaahmedtz kuhusu changamoto za afya ya akili kwa wanaume. #bbcswahili #wanaume #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw